• Fahamu Jinsi Ya Kufanya Meditation

    Akili ya mwanadamu ina uwezo mkubwa sana kuliko anavyoichukulia. Mwanadamu akiweza kutumia ufahamu wake vyema, akaweka umakini kwenye akili yake, na kutambua nguvu ya imani na utambuzi wake anaweza kuwa mtu mkubwa sana

    Soma Zaidi
  • Karibu Katika Blog Hii

    Blog Hii imelenga mafundisho mengi ya maisha katika safari ya mwanadamu Kujitambua na Kuamka

    Soma Zaidi
  • ONDOA VIPINGAMIZI VYA KUFIKIA MALENGO YAKO

    Anza kusema HAPANA kwa vitu ambavyo vinakuzuia kufikia malengo na ndoto zako za maisha. Matendo yanayokupotezea muda wako, marafiki wabaya, watu ambao maisha yao yanaweza kukupeleka pabaya, stress, hofu, matendo yanayoichukiza Nafsi yako.

    Fahamu Zaidi
  • Fahamu Jinsi Ya Kufanya Meditation

    Akili ya mwanadamu ina uwezo mkubwa sana kuliko anavyoichukulia. Mwanadamu akiweza kutumia ufahamu wake vyema, akaweka umakini kwenye akili yake, na kutambua nguvu ya imani na utambuzi wake anaweza kuwa mtu mkubwa sana

    Soma Zaidi
  • Karibu Katika Blog Hii

    Blog Hii imelenga mafundisho mengi ya maisha katika safari ya mwanadamu Kujitambua na Kuamka

    Soma Zaidi

Jumatatu, 10 Juni 2024

Umuhimu wa Kukaa Kimya na Kutafakari

Katika ulimwengu wa leo wenye misukosuko na kelele nyingi, mara nyingi tunajikuta tukiishi maisha ya kasi bila kupata nafasi ya kupumzika na kutafakari. Mambo mengi yanatufanya tushughulike na haraka ya hapa na pale, tukiwa na muda mchache sana wa kujitafakari na kutafakari kuhusu mambo tunayoyapitia. Hata hivyo, kukaa kimya na kutafakari ni jambo la msingi na lenye manufaa mengi kwa afya yetu ya akili, mwili, na roho.1. Afya ya AkiliKukaa...

Jumatano, 23 Oktoba 2019

Kufikia malengo ya mbali, kunaaza na malengo haya haya madogo tuliyonayo kwa sasa.

Watu wengi wamekuwa na mawazo na malengo yanayofanana:  “Kufanya mambo makubwa maishani, kufanya shughuli zenye manufaa kwenye jamii, mafanikio, pesa, familia, mali n.k.” Pia kutokana na malengo haya utakuta kuna anayewaza “Nikiwa CEO, nitafanya maamuzi yenye manufaa kwenye kampuni” “Nikiwa na Biashara nitatenga fungu kidogo kusaidia watu” Hivyo tunaishi maisha yetu tukiwa tunatamani kuwa katika hali mbalimbali ili kufanya mambo...

Alhamisi, 10 Oktoba 2019

Changamoto na vikwazo vya Maisha

"Jifunze kutazama changamoto za maisha katika mtazamo tofauti" Vikwazo na changamoto mbalimbali katika maisha ni hali ambayo huwepo kwa kila mtu. Ukitazama dunia kwa upande mwingine au kwa upande wa uhalisia utagundua kuwa kila kiumbe, vitu, wanadamu n.k vinapata changamoto fulani. Chukulia mfano wa ukuaji wa mbegu: Mbegu inapoanza kuota na kukua hupitia changamoto mbalimbali. Lakini cha ajabu kupitia changamoto hizo mbegu hutumia changamoto...

Jumatano, 10 Julai 2019

UPENDO - Njia Sahihi ya Kujitambua Na Kuishi Vyema.

Ishi kwa Upendo, Upendo wa Kujijali, Kujali wanadamu Wengine,Kuheshimu kila kiumbe hai na kila kisicho Hai. Upendo ni hali iliyofundishwa tangu enzi na enzi. Kila imani ulimwenguni inazungumzia kuhusu umuhimu wa upendo. Pia kila mtu anafahamu kuwa upendo ni kitu muhimu kwa mwanadamu. Mwanadamu anaweza akaishi bila mali, utajiri, sifa, lakini hawezi kuishi bila upendo. Ni dhahiri kuwa hata kama una kila kitu bila upendo unahisi hujakamilika. Upendo...

Alhamisi, 23 Mei 2019

Kujitambua ni Hatua

Katika kutambua mzizi wa matatizo yetu, tabia zetu, maisha yetu na ukweli wa maisha, kujitambua ni jambo moja la msingi sana. Mwanadamu hata akitambua kuna sayari ngapi, jua ni nini, nyota zote, na viumbe vyote; bila kujitambua mwenyewe, hawezi kuwa na hekima sahihi. Na pia kujitambua ni kitu kigumu, kujifahamu na kuona uhalisia wako inahitaji juhudi sana. Ijapokuwa inahitaji juhudi, ni jambo la muhimu sana kwenye maisha yako. Itakusaidia...

Ijumaa, 10 Mei 2019

Uhalisia wa Furaha na Mateso katika Maisha

Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu maelfu na mamia ya miaka iliyopita mwanadamu amekuwa akiwaza na kujiuliza kuhusiana na maisha ni nini. Ugumu wa swali hili ni kuwa kila mwanadamu...

Jumanne, 7 Mei 2019

Badili mawazo yako katika kuibadili fikra na Hatua za kubadili mawazo

Njia za Kubadilika Mawazo na fikra za mwanadamu huumba maisha ya mwanadamu. Fikra ulizonazo juu ya maisha yako, mwili wako, mitazamamo yako ni muhimu sana kwani huweka uhalisia katika maisha yako. Pale unapoamini jambo fulani, kuna nguvu unaikaribisha katika imani yako ya moyoni. Ndio maana ni vyema kuwaza mawazo/fikra nzuri kwa husaidia kuwa na mawazo chanya ambayo yatakusaidia katika mitazamo na maisha yako kwa ujumla. Ni...